kim kardashian na kanye west wapeana talaka
kutokana na mtandao wa MediaTakeOut.com habari zilizopo kwa sasa ni kuhusu kim kardashian na kanye waste kupeana talaka wakati ndoa yao bado ik,iwa ni changa.
pia kupitia mitandao ya kijamii kim amekua akiandika maneno yanayoashiria hayupo sawa kiakili ambapo moja ya picha aliyoitupia instagram ipo hapo chini pamoja na maneno aliyoyasema
EmoticonEmoticon